Breaking News
Loading...
Saturday, 7 May 2016

NONDO YA 18 - USIKUBALI LEO IKAIGHARIMU KESHO

03:42



DON’T TRADE GREATNESS OF TOMORROW FOR SIMPLE LUXURIES OF TODAY


Wengi watalia sana kesho kwa sababu ya makosa waliyofanya kwenye vipaumbele .
Na mojawapo ya makosa makubwa watu wengi wanafanya ni kuuza fahari kubwa ya kesho kwa gharama ndogo ya starehe ndogo ya leo.

Hiki kinawea kuwa kizuizi  kiukubwa sana cha mafanikio ya wengi.

Zig Ziglar  aliwahi sema, namnukuu
‘The chief cause of failure and unhappiness is trading what you want most with what you want right now.’

Chanzo kikubwa cha ku feli na kutokuwa na furaha ni kuuza kile ambacho unakihitaji zaidi kwa ajili kile unacho kihitaji sasa hivi.

Usikubali kuingi kwenye mtego huo.
 Usiuze kesho yako ya thamani kwa gharama ya raha ndogo za leo.

Wale wenye uwezo wa kujizuia leo kwa ajili ya kesho ndio wanao weza kujenga kesho bora zaidi.


©Grant Sumaye
+255 763 449 749
Facebook/ Grant sumaye
Instagram: Grant_s.s


0 comments:

Post a Comment

 
Toggle Footer