Breaking News
Loading...
Wednesday, 4 May 2016

ITS NOT OVER UNTIL YOU WIN

22:07





( NO ONE EVER DEFEATED UNTIL  DEFEAT HAS BEEN ACCEPTED AS THE REALITY – NAPOLEON HILL)
hakuna kushindwa hadi wewe ukubali kuwa umeshindwa.
Kuna msemo unasema  ‘asiyekubali kushindwa sio mshindani…..’

Nami nakubaliana nao.
Kana unataka kuwa mshindani tu wewe kubali kushindwa.
Lakini kama unataka kuwa mshindi usikubali kushindwa.

Mshindi anajua kuwa kutoweza kwake leo ni matokeo ya muda na mpambano bado unaendelea. 
Kuwa na mtazamo wa mshindi na siyo wa mshindani.

Less Brown anasema   ‘Its not over until you win.

Mpambano huishi hadi wewe umeshinda.

Hata shetani hajui cha kufanya ili kumzuia mtu ambaye hakubali kushindwa.
 Usikubali matokeo ya muda kuwa ndiyo matokeo ya mechi.

0 comments:

Post a Comment

 
Toggle Footer