NONDO YA 13 - USIDHARAU MAWAZO YAKO
Mtaji mmoja
wapo wa muhimu kuliko wote ni WAZO( IDEA)
Kuna msemo
unaseka kuwa
‘ WATU SIYO
MASIKINI KWA SABABU HAWANA HELA, BALI KWA SABABU HAWANA WAZO’
Unahitaji wazo
zuri kuliko unavyo hitaji fedha. Nana wazo zuri ni zaidi ya fedha.
Tatizo la
wengi ni kutokuwa na wazo, lakini tatizo kubwa zaidi ni watu kuto kuamini
mawazo yao.
. (Whatever a mind of a man can conceive and believe,
it can achieve - Napoleon Hill)
Kila
kitu ambacho akili yako inaweza kufikiri na kuamini basi unaweza kukifanya.
Usikae
na wazo lako zuri mpaka likaoza. Hebu liamini na ulifanyie kazi.
Hakuna
wazo kubwa, kila wazo ambalo ni realistic
maadamu utalipa muda na nguvu inayostahili uwe na uhakika kuwa utaliweza kulitekeleza.
Amini
mawazo yako. Unaweza kujizoeza kuwaza pia. Hata kama wazo lako moja litakuangusha
haina maana kila siku mawazo yako yatakuangusha.
Jipe
muda wa kutengeneza wazo zuri.
© Grant
+255 763 449 749
Facebook: Grant
Instagram: grant_s.s
☆Change first. Change fast.☆

0 comments:
Post a Comment