Breaking News
Loading...
Thursday, 14 April 2016

GARBAGE IN, GARBAGE OUT

22:24




GARBAGE IN, GARBAGE OUT

Usemi huu ulianza kutumiwa na watumiaji wa kompyuta, ingawa una maana kwenye kila eneo la maisha.
Hata benk watu wanaenda kuchukua walicho weka ama kinachotokana na walicho weka.
Kile mtu anacho toa ( output) ni matokeo ya kile alicho weka ndani yake ( input)
The quality and quantity of output is determined by what has been put in.
Hivyo mara nyingi matokeo ya mtu huwea kutabirika kwa kuangalia kile ambacho anafanya ama alifanya.

Kuwa makini sana na kile unachoingiza kwenye ubongo wako maana ubongo ndicho kiwanda cha maisha. Usitarajie ubongo unaijazwa takataka utaweza kuzalisha kitu bora.
Lazima utakuwa na maisha yanayofanana na kile unachojaza kwenye ubongo wako.
Jaza kwenye ubongo malighafi ambayo una hakika itakuletea bidhaa bora  


© Grant
+255 763 449 749
Facebook: Grant Sumaye
Instagram: grant_s.s
Change first. Change fast.


0 comments:

Post a Comment

 
Toggle Footer