Nina mzee moja wa makamo ambaye alisikia kuhusu trevo na
akaja kwangu nikamwelewwesha zaidi.
Akasema yeye anatatizo la presha na kisukari. Baaada ya
kumtoa wasiwasi akasema nimpe kwanza chupa moja ajaribu, akiona matokeo mazuri
atajiunga.
Alipo chukua ile chupa baada ya siku 5 akanipigia simu
tuonane. Nikawa na wsi wasi kidogo lakini nikasema TREVO HAIWEZI KUNIANGUSHA.
Kuonana naye akawa anaieleza matokeo hadi mimi nikawa
nashangaa.
Anasema kwanza anajisikia mwepesi, mwili una nguvu na
anasema hata ndoa sasa anaimudu vivuri zaidi.
Alikua hapati usingizi vizuri lakini kwa sasa analala
kama mtomto.
Amejiunga haraka na anemiahidi kunipa wateja wengine
wengi anaowafahamu.
Trevoooooooooooo,Fireeeeeeeeeeeeeeee
Kwa mawasiliano tumua anuani zilizopo hapo chini.
WHY NOT YOU?
© Grant
+255 763 449 749
Facebook: Grant Sumaye
Instagram: grant_s.s
☆Change first. Change
fast.☆

0 comments:
Post a Comment