Breaking News
Loading...
Thursday, 14 April 2016

UNAWEZA KUFANYA MUDA WOWOTE, LAKINA KUNA MUDA MZURI ZAIDI KUANZA

01:04


UNAWEZA KUFANYA MUDA WOWOTE, LAKINA KUNA MUDA MZURI ZAIDI KUANZA


Kuna methali ya Kichina inasema 'Muda mzuri wa kuotesha mti ilikua miana 20 iliyopita, na muda mwingine mzuri ni LEO'
Nakubaliana na methali hii kwa 100%.
Najua wengi kuna muda wanawaza na kusema 'Laiti ninge kuwa nilifanya hivi na hivi zamani'

Hebu fikiri kama miaka 5 au 10 au 15 au 20 iliyopita ungekuwa ulianza labda kusoma, au biashara au kujifunza jambo fulani. Utakubaliana nami kuwa leo ungekua kwenye nafasi ambayo leo unaitamani.
Usipo anza LEO kufanya hicho unachopenda kuwa umekifanya, baada ya miaka 5, au 10 au 15 ijayo utatamani na kusema Laiti ungeanza leo
Leo inaweza kuwa mwanzo wa historia yako, Leo inaweza kuwa Turning point ya maisha yako
ITUMIE VEMA LEO YAKO . 



© Grant
+255 763 449 749
Facebook: Grant Sumaye
Instagram: grant_s.s

Change first. Change fast.

0 comments:

Post a Comment

 
Toggle Footer