KWELI ZINGINE 5 ZA MAISHA.
1. Unaweza
kupata chochote unachotaka ( unaweza
kupata kila kitu, lakini siyo kwa siku moja,- Oprah Winfrey, )
2.
Huwezi kuwa na matokeo bora kuliko wewe ulivyo
bora.
3.
Dunia inabadilika kila siku, kwa hiyo unaweza
kuwa bora leo na keshio ukawa umepitwa na wakati
4. Hakikisha
unajiongeza ubora wako kila siku ili uweze kuwa mbele ya dunia.( work harder on yourself than to you do
on your job – Jim Rohn)
5.
Katika kujiongeza ubora hakuna kufika, ni
mchakato endelevu hadi kifo.

0 comments:
Post a Comment