Breaking News
Loading...
Thursday, 5 May 2016

NONDO YA 17 - KESHO INAWEZA ISIFIKE (LETTER CAN MEAN NEVER)

22:13





Wengi tuna mawazo na mipango mingi mizuri, ambayo tunajua kuwa tukiitekeleza kutasonga mbele sana kimafanikio.
Lakini tunasubiri wakati muafaka, kwa kuamini kuwa sasa mazingira kama hayaruhusu hivi.
 Lakini kiukweli wakati muafaka ni sasa. Kuna msemo wa kizungu unasema SOMETIMES LETTER BECOMES NEVER.

Huo wakati mzuri na muafaka unaousubiri unaweza usije.
Hadi pale utakapo amua kuufanya wakati uliopo kuwa wakati muafaka.
Mara nyingi tunaahirisha siyo kwa sababu ya wakati bali kwa sababu ya kuogopa kuanza. Halafu tunajificha kwenye kichaka cha wakati.
Hakuna hasara katika kutenda, maana kama ukifanikiwa utafurahia, na kama usipo fanikiwa utajifunza .
Na mambo mengine lazima ujifunze kwanza,
HIVYO JIFUNZE SASA.

©Grant Sumaye
+255 763 449 749
Facebook/ Grant sumaye
Instagram: Grant_s.s


0 comments:

Post a Comment

 
Toggle Footer